OffGrid:Electric (M-Power) - Kahama
Type
Business
Country
About us
ZOLA Electric inatengeneza mitambo ya umeme inayotoa Umeme Popote kwa ajili ya maeneo ya vijijini na mjini, nyumbani au kwenye biashara katika maeneo yasiyo na yenye umeme wa gridi ya taifa. ZOLA inawapatia wateja wake umeme thabiti katika hali yoyote.
contact
website
location
Ghorofa ya 1, Jengo la DTB, Barabari ya Moshi – Arusha, Mkabala na Hoteli ya Mt. Meru Arusha, Tanzania